FT: Young Africans SC 5-0 Kagera Sugar | Ligi Kuu Bara | Azam Complex | 11-04-2023

FT: Young Africans SC 5-0 Kagera Sugar | Ligi Kuu Bara | Azam Complex | 11-04-2023

Huyu jamaa angejua kabeba matumaini makubwa ya wana Yanga huku mitandaoni nadhani angejituma kuhakikisha zile sifa wanazompa zinaendana na kitu anachokifanya uwanjani

Kadri siku zinavyoenda tunaona walau Kisinda sasa

Utofauti wake na sawadogo ni kwamba mmoja anacheza dakika 45 na mwingine 20

Wasiopenda ukweli wataniita hater

By the way naziombea timu zote zishinde
Ungehangaika na Okra kwanza kabla ya mambo ya jirani
 
Kagera kwa namna walivyokula.bahasha watapigwa kama.ngoma
 
Bahasha njenje hapa. Kagera Sugar washaelekea Qibla wenyewe. Hawa sio Kagera tunaowajua.
 
Hizi nafasi tunazokosa ni kama Ihefu walizokuwa wanakosa Jana, kibao kilipogeuka mwishoni japo ni kwa msaada wa refa wakalizwa
 
Hahahaha ila Kagera wanakoswa aisee
 
Back
Top Bottom