Mr Devil
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 12,445
- 27,920
Wana njaa hawajalaTFF ichunguze upangaji wa matokeo, leo Kagera Sugar wanacheza mpira legelege kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana njaa hawajalaTFF ichunguze upangaji wa matokeo, leo Kagera Sugar wanacheza mpira legelege kabisa.
Kama hapo Mipasho iko wapi Rasta?
Hakuna striker wa kushindanishwa na mayele usitafute visingizio mbona huwa anacheza hadi mechi nne mfululizo bila kufunga!Topu skoa wenu ana zari kila mechi anacheza, majeraha ya wachezaji wetu ndio yanayompa advantage na kumfanya awe mbali kuwazidi wachezaji wetu.
Namfananisha, au ni yeye?Hili nalo mkalitazame
Ukiniambia ni stroker gani katika ligi hii tangu tuuanze mwaka 2023 katika michezo yote amefunga mabao 14Hakuna striker wa kushindanishwa na mayele usitafute visingizio mbona huwa anacheza hadi mechi nne mfululizo bila kufunga!