FT: Young Africans SC 5-0 Kagera Sugar | Ligi Kuu Bara | Azam Complex | 11-04-2023

FT: Young Africans SC 5-0 Kagera Sugar | Ligi Kuu Bara | Azam Complex | 11-04-2023

Topu skoa wenu ana zari kila mechi anacheza, majeraha ya wachezaji wetu ndio yanayompa advantage na kumfanya awe mbali kuwazidi wachezaji wetu.
Hakuna striker wa kushindanishwa na mayele usitafute visingizio mbona huwa anacheza hadi mechi nne mfululizo bila kufunga!
 
Hakuna striker wa kushindanishwa na mayele usitafute visingizio mbona huwa anacheza hadi mechi nne mfululizo bila kufunga!
Ukiniambia ni stroker gani katika ligi hii tangu tuuanze mwaka 2023 katika michezo yote amefunga mabao 14

Ili kauli yako iwe sahibi basi jibu linatakiwa awe huyo striker wako ambaye hatakiwi kushindanishwa
 
Si ndo hyo timu baleke aliondoka na mpira au kuna nyingine
 
Timu za chini huku yenye ushindani ni Ihefu pekee hao wengine ni waganga njaa
 
Back
Top Bottom