FT: Young Africans SC 6-0 CBE SA | CAFCL | 2nd Preliminary round | 2nd Leg | Amani Stadium | 21-09-204

Hii Utopolo ya kawaida tu. Eti wachezaji wao nyota ni wale tuliowastaafisha.
 
Kombe la ma loosers .

Simba wakikosa kuchukua hata hili kombe la ma loosers basi watakuwa best loosers [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbonaa Yangaa haikuchukuaa hilo kombe la ma Loosers?
Au unajizima data? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawa utopolo hamna kitu wanacheza na timu mbovu ila wanavyohangaika kufunga kama wamekutana na timu ya maana
 
Mnacheza na wanafunzi wa CBE ya dodoma hapo mnategemea nn ila utopolo🐸🐸🤣🤣
 
Azizi Ki sijui ndio Mobeto kamuaribu au ndio sifa zimemlevya, kawa mpotezaji sana wa mipira
 
Kosa kubwa kumtoa Max, pale kati pameyumba sana. Nadhani Alitakiwa kutoka Mudathir
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…