Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye haya mashindano ya CAF Zanzibar ni nchi kamili kama ilivyo Tanzania bara. Hii leo Yanga wako ugenini pia.Zanz ni Tanzania, tatizo lipo wapi?
Tatizo lipo kwenye mashabiki kushindwa kuujaza huu uwanja mdogoZanz ni Tanzania, tatizo lipo wapi?
Japo wana jituma ila CBE bado wepesi ukiwalinganisha na Uto, si rahisi kuwatoa Uto.Sioni dalili ya Uto kushinda hii game 😆😆
Tukiwaambia Yeboyebo hamna uwezo wa kujaza uwanja hata uwe mdogo vipi mnabisha. Jionee mwenyeweUnachekesha
Ooh, ok mkuuKwenye haya mashindano ya CAF Zanzibar ni nchi kamili kama ilivyo Tanzania bara. Hii leo Yanga wako ugenini pia.
Ndio kawaida ya utopolo kutawala mchezo, na wanaweza kupigwa vile vile.So far utopolo wametawala mchezo
Hiyo mechi ni ugenini huko ZenjiTukiwaambia Yeboyebo hamna uwezo wa kujaza uwanja hata uwe mdogo vipi mnabisha. Jionee mwenyewe
Utopolo wazee wa kuingia uwanjani kwa mlango wa uwani au kinyumenyume.View attachment 3102296
Kwa mbaali, kama kuna kitu kinachimbuliwa au kuwekwa sawa Uwanjani
hata hapa unatakiwa usepeHamna mpira hapa bora niangalie Man U na Crystal Palace
Tatizo lipo kwenye mashabiki kushindwa kuujaza huu uwanja mdogo
Bora wangeacha mechi ipigwe Dar tu
Uwanja haujajaa mkuuEe , hata hicho kiwanja wameshindwa kukijaza?
Kuku wa kukamua utawakuta tuNdio kawaida ya utopolo kutawala mchezo, na wanaweza kupigwa vile vile.
Uzee mwisho Simba, utopoloni hakuna mzee, wote ni mwendo wa kusakata mpira, umri peleka NIDA.Hivi chama bado ni Mzeee ?