FT: Young Africans SC 6-0 CBE SA | CAFCL | 2nd Preliminary round | 2nd Leg | Amani Stadium | 21-09-204

Mbona kama pacome ana force sana kwani kuna mashindano ya chama na pacome kikosini
Tatizo la Pacome ni ubinafsi na kupenda kucheza na jukwaa!! Kwenye mpira wa kisasa hawezi!! Chama hana mpinzani pale Yanga kwa sasa!! Chama hana hata chembe ya ubinafsi. Itabidi Azizi Ki akubali tu kuanzia benchi hasa kwenye mechi za kimataifa!!
 
aanze yeyote itategemea umuhimu wa mechi
 
Back
Top Bottom