FT: Young Africans SC 6-0 CBE SA | CAFCL | 2nd Preliminary round | 2nd Leg | Amani Stadium | 21-09-204

FT: Young Africans SC 6-0 CBE SA | CAFCL | 2nd Preliminary round | 2nd Leg | Amani Stadium | 21-09-204

Tatizo la Pacome ni ubinafsi na kupenda kucheza na jukwaa!! Kwenye mpira wa kisasa hawezi!! Chama hana mpinzani pale Yanga kwa sasa!! Chama hana hata chembe ya ubinafsi. Itabidi Azizi Ki akubali tu kuanzia benchi hasa kwenye mechi za kimataifa!!
Mechi za kimataifa za kumuanzisha Chama ni hizo za timu kama CBE.
Ila kwa timu kama Mamelodi option nzuri ni AZIZI KI.
Chama kwa huu umri papatu papatu za timu kama mamelody hafui dafu.
 
Gooool, Aziz K. ila, nimetazama sana mechi za Yanga, naona kama kila wanavyoenda mbele wanazidi kushuka, ni kama wameanza kuamini wao ni wakubwa mno ilihali waendapo ni kugumu zaidi ya walipotoka, walipotoka hakuna mpinzani aliyewatilia maanani sana tofauti na sasa CBE inakaza.
 
Gooool, Aziz K. ila, nimetazama sana mechi za Yanga, naona kama kila wanavyoenda mbele wanazidi kushuka, ni kama wameanza kuamini wao ni wakubwa mno ilihali waendapo ni kugumu zaidi ya walipotoka, walipotoka hakuna mpinzani aliyewatilia maanani sana, sasa hivi timu kama CBE inakaza.
Acha kuandika insha kijana. Angalia pira 🤣
 
Back
Top Bottom