Mechi za kimataifa za kumuanzisha Chama ni hizo za timu kama CBE.Tatizo la Pacome ni ubinafsi na kupenda kucheza na jukwaa!! Kwenye mpira wa kisasa hawezi!! Chama hana mpinzani pale Yanga kwa sasa!! Chama hana hata chembe ya ubinafsi. Itabidi Azizi Ki akubali tu kuanzia benchi hasa kwenye mechi za kimataifa!!
Ila kwa timu kama Mamelodi option nzuri ni AZIZI KI.
Chama kwa huu umri papatu papatu za timu kama mamelody hafui dafu.