FT: Young Africans SC 6-0 CBE SA | CAFCL | 2nd Preliminary round | 2nd Leg | Amani Stadium | 21-09-204

Gooool, Aziz K. ila, nimetazama sana mechi za Yanga, naona kama kila wanavyoenda mbele wanazidi kushuka, ni kama wameanza kuamini wao ni wakubwa mno ilihali waendapo ni kugumu zaidi ya walipotoka, walipotoka hakuna mpinzani aliyewatilia maanani sana tofauti na sasa CBE inakaza.
Inakaza kwa kufungwa 4 aggregate?
 
"watakufa na kisukari"Moja kati ya commentary za hovyo kabisa ambazo mtangazaji hupenda kuzitumia
 
Gooool, Aziz K. ila, nimetazama sana mechi za Yanga, naona kama kila wanavyoenda mbele wanazidi kushuka, ni kama wameanza kuamini wao ni wakubwa mno ilihali waendapo ni kugumu zaidi ya walipotoka, walipotoka hakuna mpinzani aliyewatilia maanani sana tofauti na sasa CBE inakaza.
Kwanini unasema inashuka? Kipimo kipi ulichokitumia?
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Ngoma ya Mtoto haikeshiiiiii 💚💚💚💛💛🖤🖤🖤🖤🕺🕺🕺💪💪💪💪!!

Cc Smart911
 
Back
Top Bottom