Muolewaji mwenyewe ana masharti mia ishirini kidogo. Mara awe tall dark and handsome, sijui awe na mihela, awe na range rover, sasa sii umuumbe mwenyewe huyo kidumeππ mshenga mwenyewe hawezi kazi, hadi leo hajafanikisha mchongo, nimemuachisha kazi mzabzab
Kumbe akili hazimo nmekuuliza lini mlishinda goli 10 tujifunze kwenu wajuajiMechi tatu tu uto alishakula magoli 15 mfumo ukiwa 6 , 5, 4 .Kwahiyo vibonde kama hao 10 zingefika.
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Nilikuambia hela na Range tutatafuta wote, ili mradi awe anapumua ila hujataka kunifanyia wepesi, au ulikua unataka uwe wewe mwenyewe mshenga? πππMuolewaji mwenyewe ana masharti mia ishirini kidogo. Mara awe tall dark and handsome, sijui awe na mihela, awe na range rover, sasa sii umuumbe mwenyewe huyo kidume
Nilijivunga aje tena? Mbona waniombea mabayaππWe si ulijivunga?
Ngoja magume gume yakutese utanikumbujaπ€£π€£
Sasa jamani nani anaweza mkabidhi mwanaume mwengine mwanamke mrembo kama wewe jamani. Mie mwenyewe nataka uwe mke wangu njoo bwana wikend hii tukapunge upepo coco beachNilikuambia hela na Range tutatafuta wote, ili mradi awe anapumua ila hujataka kunifanyia wepesi, au ulikua unataka uwe wewe mwenyewe mshenga? πππ
Sasa siku zote hizo husema kama mshenga mwenyewe umependa, unanizungusha kazi hufanyi. Na vile vigezo huna sasa itakuaje? ππSasa jamani nani anaweza mkabidhi mwanaume mwengine mwanamke mrembo kama wewe jamani. Mie mwenyewe nataka uwe mke wangu njoo bwana wikend hii tukapunge upepo coco beach
Vigezo gani tena? Sii umesema anayepumua tuu ama vigezo vimebadilika tenaSasa siku zote hizo husema kama mshenga mwenyewe umependa, unanizungusha kazi hufanyi. Na vile vigezo huna sasa itakuaje? ππ
Ndio ili urudiπ€£Nilijivunga aje tena? Mbona waniombea mabayaππ
Ahsante mkuu, hongereni piaaNipo sana, Hongereni
Thanks ,ila mlicheza na timu isiyo na kiwango ππAhsante mkuu, hongereni piaa
Mlicheza na wanakwaya st George tulikaa kimya , nyie mna maneno mengiiππThanks ,ila mlicheza na timu isiyo na kiwango ππ
π€£π€£π€£ una maneno weweMlicheza na wanakwaya st George tulikaa kimya , nyie mna maneno mengiiππ
Sisi mashabiki wa simba hatuna akili mbovu kama mashabiki wa yanga kwenda airport kuwapokea wageni na kuwasaidia wapinzani wa Tanzania hizo akili zipo kule avic town peke yake.Mechi ya marudio usikose kuja kuwashangilia ili wapindue meza kibabe.