FT: Zalan 0-4 Yanga | CAF Champions League | Uwanja wa Mkapa | 10-09-2022

FT: Zalan 0-4 Yanga | CAF Champions League | Uwanja wa Mkapa | 10-09-2022

Mlivyopata bao la kuongoza ulikuwa ni kocha au mchezaji?
Ukifika mda wa game sishiki simu na angalia dakika 90 baadae narudi ku komenti mimi sio kama wewe unasikiliza mpira redioni alf unakuja kuanzisha ubishi
 
Hii report ya leo hatari sana. Kwa hiyo Mayele kafunga goli mbili wakati mmoja? Au kwa kuwa macho na masikio ya Watanzania yalikuwa kwa mnyama?
 
Kinachowaangusha zalan ni uchovu maana wamefika jana usiku saa 6 na leo wanakipiga ila wana team nzuri sana wale jamaa mechi ya pili itakuwa wameshapoa na uchovu hapo ndo kutakuwa na mpira.
Mechi ya marudio usikose kuja kuwashangilia ili wapindue meza kibabe.
 
Ukifika mda wa game sishiki simu na angalia dakika 90 baadae narudi ku komenti mimi sio kama wewe unasikiliza mpira redioni alf unakuja kuanzisha ubishi
Kwa hiyo zile comments zako muda mfupi baada ya kupata bao la kuongoza zilisababishwa na tatizo la tecno kujiminya yenyewe?
 
IMG-20220911-WA0040.jpg
 
Back
Top Bottom