Ndondocha mkuu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,490
- 2,965
Mayleeeee hat trickAziz Ki hana goli wala assist mpaka sasa yaani hata kwa hawa vibonde
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mayleeeee hat trickAziz Ki hana goli wala assist mpaka sasa yaani hata kwa hawa vibonde
Msimu huu tunaenda na Aziz KiAziz Ki hana goli wala assist mpaka sasa yaani hata kwa hawa vibonde
Acha uwongoGooooooooal
Makaaaaambo
Kakosa goli paleAcha uwongo
Furaha yetu inarudi. Tupo ugenini swala kubwa tunahitaji kuwatoa hawa jamaa na tujipange gemu inayo kujaIngekua Simba tungefunga hata 10
Mayleeeee hat trick
Unabadili giaYanga itapigwa na Al Hilal kama ngoma
Al Hilal sio timu ya kutishiwa nyauMechi ya pili inabidi Yanga washinde za kutosha, ili kuwa disturb kiakili wapinzani wao wajao
Mngewafunga wa Djibouti kwanzaIngekua Simba tungefunga hata 10
Kama walivyo kuzabaAl Hilal sio timu ya kutishiwa nyau
Kwa kuwa umepigwa ww unazani kila mtu wakupigwa pigwa.Al Hilal sio timu ya kutishiwa nyau
KonyoooooooooooZalan 2 Yanga 1
Hmmh kwahiyo umeanza kuvimba kisa hawa ZALAN? Acha basi[emoji23][emoji23].Kwa kuwa umepigwa ww unazani kila mtu wakupigwa pigwa.
Ukikutana na kibonde mtandike kisawasawa nyie si mmelemba kwa kwa KMC mwishoni mkachomoa nyinyi kwa tochi,sasa subiri ni kutane nae mimi uone ninavyo mbutia.Hmmh kwahiyo umeanza kuvimba kisa hawa ZALAN? Acha basi[emoji23][emoji23].