FT: Zambia 0-1 Tanzania | Kufuzu Kombe la Dunia | Levy Mwanawasa Stadium | 11/06/2024

Wachezaji wetu hawana hata uwezo wa kumpress mpinzani kwenye half yake, yaani wakipoteza mpira wote wanarudi kuja kukabia nyuma... kweli bado tuna uchanga sana kwenye mechi za level ya juu kama hiii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…