Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Kafiri mwenyewe...Hakika mpira ni mchezo wa kikafiri, na wote washirikio wako kinyume na allah. Enyi makafir, ziachen hizo shirk mpate kuepuka hukum ya mola wetu siku ya kiama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kafiri mwenyewe...Hakika mpira ni mchezo wa kikafiri, na wote washirikio wako kinyume na allah. Enyi makafir, ziachen hizo shirk mpate kuepuka hukum ya mola wetu siku ya kiama.
We're safeCorner kick wanapata Zambia
Kachana mkeka wangu ila sijali kabisaTanzania alipewa odd 5,wazalendo wanakula kiulaini Leo!!
Tutolee uchawi wako, nenda majukwaa ya diniHakika mpira ni mchezo wa kikafiri, na wote washirikio wako kinyume na allah. Enyi makafir, ziachen hizo shirk mpate kuepuka hukum ya mola wetu siku ya kiama.
Mhh shikilia mbupuDakika ya 90 +7
Lile kocha la kizungu lingetugharimu snNimekipenda kikosi cha stars. Yule mashauzi Samata hayupo.
Msije mkajaribu kumbembeleza