OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Fuuuuuull Timeeeeeeeeeee
Weraaaaaaaaaa
Weraaaaaaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasikiliza kwenye redio au!!??Naaaaaaaaaaaam mpira umekwisha
Zambia 0:1 Tanzania
Labda
Tumeshinda bila SamattaNaaaaaaaaaaaam mpira umekwisha
Zambia 0:1 Tanzania
Damu nzito kuliko maji 😀😀😀😀Kwa leo mashabiki wa bongo watusamehe, hatuko pamoja 😂
Yana maana kwamba Kalio... oops sorry, Karia ataendelea kuwepo pale TifuaTifua kwa miaka 5 tena. Maana ameupiga mwingi.Matokeo haya Yana maana Gani?
Duh, Kwaiyo unataka kusemaaa....Safi
Tumeshinda bila Samatta
Hiyo pp daaaaa acheni tu yatukute ya NawandaDamu nzito kuliko maji 😀😀😀😀
Sitokubali unichome sindano, akili fyatu🤸Bado tu?
Mapumbu yapumue angalau
Yeh, ikianza na wachezaji 9 wa Ligi bora ya TZ ..Safi
Tumeshinda bila Samatta
Naipigania nchi. Sema tu una wivu. Unatamani ningekushililia weweSitokubali unichome sindano, akili fyatu🤸
InshallahTaifa stars wanaenda kombe la dunia watacheza na Netherland na France kwenye kundi lao