FT: Zambia 0-1 Tanzania | Kufuzu Kombe la Dunia | Levy Mwanawasa Stadium | 11/06/2024

FT: Zambia 0-1 Tanzania | Kufuzu Kombe la Dunia | Levy Mwanawasa Stadium | 11/06/2024

Hii michezaji vipi inashindwa kufanya possesion. Wanajipia mbele tu
Pamoja na kwamba points tatu tumeweka kibindoni... ila bado kuna mapungufu mengi sana kwa hawa vijana wetu.

Kwanza, bado wana low confidence au tusema hali ya uchanga ya kutokujiamini hasa wanapokuwa wanaongoza...

Pili, bado hawajui namna sahihi ya kuwini mipira kwenye physical battle wachezaji wetu kila wanapokaba wanacheza faulo na tena muda mwingine ni kwenye sehemu za hatari.

Tatu,hawana kabisa uwezo wa kufanya high pressing kwenye eneo la wapinzani japo goli tulilopata limetokana na pressing aliyofanya Mudathiri.

Nne,fullbacks wetu ni wazito sana yaani wakigeuzwa tu kidogo wanaachia gap kisha mawinga wa timu pinzani wanapiga cross ambazo zinakuwa ni hatari sana maana hana beki za kati kati zina tatizo hilo hilo.

Tano,Wachezaji nao wajifunze uhuni kwenye mechi kama hizi, kwenye mechi kama hiz kumdanganya refa kuna husika sana... unacheza faulo wewe halafu unatengeneza mazingira uonekane wewe ndio umechezewa faulo sio unabaki kushangaa shangaa tu

La mwisho niipomgeze Stars kwa ushindi huu muhimu ugenini pale Levy mwanawasa Ndola.
 
Taifa stars imecheza vizuri mno na kushinda japo baada ya Mao kutoka katikati kulikuwa na gap kubwa mno hasa second half Zambia wakatawala mchezo na kushambulia sana na kupiga shuti hatari mno, huyu Mtasingwa bado sana bora hata angecheza Mkude. Alikaa nyuma sana na kukaribisha mashambulizi hatari karibu na goli letu, ilikuwa roho mkononi!!

Kitu cha pili Taifa stars ijifunze kukaba kitimu kwa nguvu kama Yanga hatutafungwa ovyo.

Balua alipambana ila hakuwa na wa kuchezeshana nae. Hilo wakaliangalie

Fei alicheza vizuri mno japo alileta utoto alipopata nafasi nzuri ya kushoot badala yake akaanza mbwembwe kutaka kupiga chenga timu nzima, akue sasa, akumbushwe mchezo mkubwa nafasi za kufunga ni chache asizichezee.

Lusajo ni beki imara sana basi asaidiwe maana upande wake hakupata msaada mara nyingi akikaba wachezaji wawili.

Otherwise Hemed Morocco ameprove ni bonge la kocha na anaweza kuibeba Taifa stars. Nilitamani kumuona Msindo pia.
 
Taifa stars imecheza vizuri mno na kushinda japo baada ya Mao kutoka katikati kulikuwa na gap kubwa mno hasa second half Zambia wakatawala mchezo na kushambulia sana na kupiga shuti hatari mno, huyu Mtasingwa bado sana bora hata angecheza Mkude.

Kitu cha pili Taifa stars ijifunze kukaba kitimu kwa nguvu kama Yanga hatutafungwa ovyo.

Balua alipambana ila hakuwa na wa kuchezeshana nae. Hilo wakaliangalie

Fei alicheza vizuri mno japo alileta utoto alipopata nafasi nzuri ya kushoot badala ya yake akaanza mbwembwe kutaka kupiga chenga timu nzima, akue sasa

Otherwise Hemed Morocco ameprove ni bonge la kocha anaweza kuibeba Taifa stars.
Sahihi kabisa... we had the game in first half and we could have grabbed two goals prior to halftime.

Mambo yalianza kwenda mlama baada ya substitutions butu hasa batu za Abdul Suleiman na Adolf Biteko... hawa jamaa waliingia kwenda kuvuja jasho tu mule hili wakaoge vizuri hakuna cha maana walichofanya
 
Taifa stars imecheza vizuri mno na kushinda japo baada ya Mao kutoka katikati kulikuwa na gap kubwa mno hasa second half Zambia wakatawala mchezo na kushambulia sana na kupiga shuti hatari mno, huyu Mtasingwa bado sana bora hata angecheza Mkude. Alikaa nyuma sana na kukaribisha mashambulizi hatari karibu na goli letu, ilikuwa roho mkononi!!

Kitu cha pili Taifa stars ijifunze kukaba kitimu kwa nguvu kama Yanga hatutafungwa ovyo.

Balua alipambana ila hakuwa na wa kuchezeshana nae. Hilo wakaliangalie

Fei alicheza vizuri mno japo alileta utoto alipopata nafasi nzuri ya kushoot badala yake akaanza mbwembwe kutaka kupiga chenga timu nzima, akue sasa, akumbushwe mchezo mkubwa nafasi za kufunga ni chache asizichezee.

Lusajo ni beki imara sana basi asaidiwe maana upande wake hakupata msaada mara nyingi akikaba wachezaji wawili.

Otherwise Hemed Morocco ameprove ni bonge la kocha na anaweza kuibeba Taifa stars. Nilitamani kumuona Msindo pia.
KIpa hakuwa na mchango wowote leo? Mimi sijakuwa karibu na tv lkn nimefuatilia maoni ya watu humu.
 
Back
Top Bottom