ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Wivu lazima btw.Naipigania nchi. Sema tu una wivu. Unatamani ningekushililia wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wivu lazima btw.Naipigania nchi. Sema tu una wivu. Unatamani ningekushililia wewe
Ndiyo maana nakupendaga.Wivu lazima btw.
Kupendwa na mtu aliyesoma PCB ni bahati sanaNdiyo maana nakupendaga.
Njoo hapa, nilikwambia baada ya dk 90 ntakukumbusha. Àcheni dharau.Mapemaa sanaaaaq mpira aujaisha dogoo
Tumegundua wewe ndo huwa unatuletea mikosi, baki hukohuko Zambia please.Mimi huwa si shabiki wa Taifa Stars. Bahati mbaya pia nina damu toka Zambia acha niwe huko leo.
Chipolopolo 🫶[emoji123]
Ngoja tuone kama ephen_ atamshtua makhabhuba wake Lucas Mwashambwa aje watu wabubujikwe na machozi.😅Hapa tegemea serikali kuanza kusema ni juhudi za nani vile..na hapo ndio utaanza kuwaona wanasiasa na machawa wakitaka kuvuruga kwwa kuanzisha kampeni
Muone 😀😀😀 mbona sijawahi kuishabikia hiyo timu yenu!!! Hata siku moja. Siielewi na hongereni vichwa vya wendawazimu 😊Tumegundua wewe ndo huwa unatuletea mikosi, baki hukohuko Zambia please.
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Pamoja na kwamba points tatu tumeweka kibindoni... ila bado kuna mapungufu mengi sana kwa hawa vijana wetu.Hii michezaji vipi inashindwa kufanya possesion. Wanajipia mbele tu
Bila kibu DSafi
Tumeshinda bila Samatta
Kwasababu ume join 2022 wewe ndo nini?Joined 2007, utakua ni babu sasa hivi, kumbe unajua kuhusu mimi na Mwashambwa? Hii imekua serious sasa
Wacha weeh😀Tuliojoin 2022 nikiwemo mimi bado wadogo😎
Kapashe kiporoMimi huwa si shabiki wa Taifa Stars. Bahati mbaya pia nina damu toka Zambia acha niwe huko leo.
Chipolopolo 🫶💪
Umeshaanza manyege yakoNaomba ulale! Wazee hulala mapema
Sahihi kabisa... we had the game in first half and we could have grabbed two goals prior to halftime.Taifa stars imecheza vizuri mno na kushinda japo baada ya Mao kutoka katikati kulikuwa na gap kubwa mno hasa second half Zambia wakatawala mchezo na kushambulia sana na kupiga shuti hatari mno, huyu Mtasingwa bado sana bora hata angecheza Mkude.
Kitu cha pili Taifa stars ijifunze kukaba kitimu kwa nguvu kama Yanga hatutafungwa ovyo.
Balua alipambana ila hakuwa na wa kuchezeshana nae. Hilo wakaliangalie
Fei alicheza vizuri mno japo alileta utoto alipopata nafasi nzuri ya kushoot badala ya yake akaanza mbwembwe kutaka kupiga chenga timu nzima, akue sasa
Otherwise Hemed Morocco ameprove ni bonge la kocha anaweza kuibeba Taifa stars.
KIpa hakuwa na mchango wowote leo? Mimi sijakuwa karibu na tv lkn nimefuatilia maoni ya watu humu.Taifa stars imecheza vizuri mno na kushinda japo baada ya Mao kutoka katikati kulikuwa na gap kubwa mno hasa second half Zambia wakatawala mchezo na kushambulia sana na kupiga shuti hatari mno, huyu Mtasingwa bado sana bora hata angecheza Mkude. Alikaa nyuma sana na kukaribisha mashambulizi hatari karibu na goli letu, ilikuwa roho mkononi!!
Kitu cha pili Taifa stars ijifunze kukaba kitimu kwa nguvu kama Yanga hatutafungwa ovyo.
Balua alipambana ila hakuwa na wa kuchezeshana nae. Hilo wakaliangalie
Fei alicheza vizuri mno japo alileta utoto alipopata nafasi nzuri ya kushoot badala yake akaanza mbwembwe kutaka kupiga chenga timu nzima, akue sasa, akumbushwe mchezo mkubwa nafasi za kufunga ni chache asizichezee.
Lusajo ni beki imara sana basi asaidiwe maana upande wake hakupata msaada mara nyingi akikaba wachezaji wawili.
Otherwise Hemed Morocco ameprove ni bonge la kocha na anaweza kuibeba Taifa stars. Nilitamani kumuona Msindo pia.