FT: Zambia 0-1 Tanzania | Kufuzu Kombe la Dunia | Levy Mwanawasa Stadium | 11/06/2024

FT: Zambia 0-1 Tanzania | Kufuzu Kombe la Dunia | Levy Mwanawasa Stadium | 11/06/2024

Zambia wanafanya shambulizi kali ila kipa wa stars amebaki imara
 
Mimi huwa si shabiki wa Taifa Stars. Bahati mbaya pia nina damu toka Zambia acha niwe huko leo.
Chipolopolo 🫶[emoji123]
Watu kama nyie jeshini huwa mna adhabu yenu special. Aya tulia hukohuko Zambia, mshakalia kimoko
 
Back
Top Bottom