FT: Zambia 0-1 Tanzania | Kufuzu Kombe la Dunia | Levy Mwanawasa Stadium | 11/06/2024

FT: Zambia 0-1 Tanzania | Kufuzu Kombe la Dunia | Levy Mwanawasa Stadium | 11/06/2024

Naam kipindi cha kwanza kinakamilika

Zambia 0:1 Tanzania
 
ng'ombe wa masikinii anakatoto kamoja tuone Sasa kama mayai bado anayo au hata kidogo alichonacho atapokonywa🤣🤣
 
wachezaji wamerejea kwenye dimba kukamilisha dakika 45 za kipindi cha pili
 
Naam mpira umeanza dakika ya 45

Zambia 0:1 Tanzania
 
Back
Top Bottom