Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa mzinzi huyoNaona hapo mtu kasinzia ni Mzize au Mzinze? Hao wa njano njano hapo aka yellow
Yeah hujakosea ni under 20 wetuNaona hapo mtu kasinzia ni Mzize au Mzinze? Hao wa njano njano hapo aka yellow
Tupeni Updates wakuuMfuniko na pipa vimekutana. Mpira wa ovyo kabisa.
😂😂😂Tushabikie nini sasa?CCM visiwani Vs CCM Bara
Mi siangalii hiyo mechi ila nimeona kuna mtangazaji wa radio kapost hii😂😂😂Tushabikie nini sasa?
Tupeni Updates hata kama ni ball la hovyo
16,000.Huu uwanja uliozinduliwa unabeba watazamaji wangapi?