FT: Zanzibar Heroes 0 - 0 Kilimanjaro Stars | Mechi ya Kirafiki | Amani Stadium | 27.12.2023

Mchezaji bora wa Stars sasa hivi ni Kibu na sitegemei kama hilo itabadilika hivi karibuni. Huko AFCON tucheze kwa kukamia hasa hivi hivi tutarudi na kapu la magoli. Hatuna washambuliaji kabisaaa
Kabsa ni vyema kama na wew umeliona hilo, kiufupi sioni kikosi cha kuokoteza hata point moja huko Afcon,

Samatta,m Msuva, na Mzamiru hawa watu kwa nchi zilizo serious na soka saizi ilifaa wawe kwa hiari yao binafsi wamestaafu/ kustaafishwa Timu ya taifa.
 
Halafu kuna jambo limenishangaza jana. Hivi ni mimi tu ndiye sijaona au ni kwamba hakukuwa na camera hata moja iliyoonyesha mabenchi ya ufundi wala makocha
 
Ni kama Azam walilazimishwa tu kushoot lile tukio maan wamefanya kwa bora liende sana.
 
Back
Top Bottom