Fteemasson Messi anapoingia uwanjan tutarajie nini

Fteemasson Messi anapoingia uwanjan tutarajie nini

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,011
Kwenu wana michezo kijana anaanza kupiga jaramba je nguvu za freemasson zinaweza kuonekana tena kupitia magoli ya messi?
 
Akili na utashi kapewa binadami..ila itakuwa hatari pale ambapo mbwa atakuwa na akili kumshinda binadamu...
 
Akili na utashi kapewa binadami..ila itakuwa hatari pale ambapo mbwa atakuwa na akili kumshinda binadamu...
ukweli ni kwamba panya ana akili zaidi ya binadamu
 
panya anakula kiinitete cha mahindi ambacho binadamu anatupa na kula kapi
 
Back
Top Bottom