- Thread starter
- #21
Walikuwa hawajathibitisha.Hii mbona ya muda almost 3days ago,
Tena huyu aliuawa kabla hata ismail haniyeh.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walikuwa hawajathibitisha.Hii mbona ya muda almost 3days ago,
Tena huyu aliuawa kabla hata ismail haniyeh.
Nadhani jamaa wameamua kutumia hii mbinuAisee jamii ya waarabu wenye itikadi Kali wanapitia kipindi kigumu mno! Nadhani kwa sasa Kila gaidi yuko kwenye panick ya Hali ya juu na hawajui wafanye Nini.
Naona muyahudi amekuja na mbinu nyingine ya kupigana vita hapo mashariki ya kati, mbinu yenyewe ni kupiga wachunga kondoo!... kwa hiki kipigo lzm watu kende zidumbukie ndani kama dume la ngombe lililo hasiwa😂
Mbinu hii bila shaka ni miongoni mwa mbinu B.netanyahu alizopewa ktk ziara yake huko magharibi maana Toka ameludi ni mwendo wa chinja chinja. (Snawar —kiporo Cha kesho)
Nimependa maneno haya MAFICHO YAKE MJINI BEIRUTHezbollah wamethibitisha kuuwawa kwa kamanda wao muhimu ambaye ni moja ya waasisi wake na Mshauri mkuu wa kiongozi wa Hezbollah Hassan Nasrallah , Fuad Shukr katika shambulizi la anga la kushtukiza katika maficho yake mjini Beirut, Lebanon Jumanne tarehe 30, Julai 2024.
Shambulizi la anga lililenga jengo alilokuwemo Shukr katika kitongoji cha Dahiyeh chenye msongamano mkubwa wa watu na vizuizi vingi vya ukaguzi (check points) ambacho kinatajwa kuwa ni ngome muhimu na maskani ya kundi la Hezbollah.
Ni ajabu kwa kamanda wa juu wa Hezbollah kuuwawa ndani ya ngome yake ya utawala tena nchini kwake na vikosi toka nje.
Mazishi yamefanyika tarehe 1 Agosti 2024.
Hezbollah has confirmed one of its senior military commanders was killed in an Israeli air strike in Beirut, the capital of Lebanon.
Late on Wednesday, the Iran-backed group said Fuad Shukr's body had been found in the rubble of a building that was hit on Tuesday.
Four other people were killed in the strike, including two children. Earlier, the Israeli military said Shukr had been the target of an "intelligence-based elimination".
It said the strike was a response to a rocket attack that killed 12 people in the Israeli-occupied Golan Heights on Saturday, which Israel says the commander helped plan.
Chanzo:![]()
Lebanon: Hezbollah confirms Fuad Shukr died in Israeli strike
Israel had accused Fuad Shukr, a top Hezbollah commanders, of masterminding operations against Israel.www.bbc.com
Ndani ya Hezibollah,Hamas kuna maajenti wa Israel.
Hizbullah wameanza kumlipia kamanda leo