Fuad Shukr, 2nd commander wa Hezbollah na Mshauri mkuu wa kiongozi wa Hezbollah Hassan Nasrallah auwawa na IDF nchini Lebanon. Hezbollah wathibitisha

Nadhani jamaa wameamua kutumia hii mbinu
 
Nimependa maneno haya MAFICHO YAKE MJINI BEIRUT

Kwanini ajifiche
Na kwanini ajifiche mjini kwenye makazi ya watu ?
 
Ndani ya Hezibollah,Hamas kuna maajenti wa Israel.

Wako wengi mno Mkuu, huyu Kamanda alikuwa ghorofa ya pili, na ndio ofisi yake ilipo, akapigiwa simu na baadhi ya walinzi wake atoke aende ghorofa ya saba, ambako ndio nyumbani kwake, alipofika tu, ndege za IDF zikaifumua ghorofa ya saba! Hezbolah inauzwa na watu wake wenyewe!

Hivi unadhani Pager zimeingia Lebanon bila mkono ndani ya Hezbolah...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…