Fuata moyo wako lakini usisahau kubeba akili yako

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
Moyo pekee (Bila Akili) Huleta maamuzi ya kukurupuka, matatizo ya kifedha, au kubaki kwenye mahusiano mabaya kwa sababu ya hisia tu.

Akili pekee (Bila Moyo)
Hufanya maisha kuwa ya kuchosha, yasiyo na furaha, na yenye kufuata taratibu tu bila msisimko.

*Ruhusu moyo uchague unachokipenda, lakini tumia akili kuweka akiba na kufanya utafiti wa tamanio lako.

*Ruhusu moyo uchague unayempenda, lakini tumia akili kuona kama anakuheshimu,anakujali,anakupenda na mnaendana tabia.
 
Kwa hiyo mwamba kapendwa hadi amefungwa kichawi kwa kutumia kufuli na funguo ikadumbukizwa chooni?
 
Akili tutatumia zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…