Malizia tujifunze kitu mkuuMada nimeikimbilia nikajua ni pana. kumbe umeifinya kwenye mapenzi tu.
Huko kwenye maisha mengine kama biashara, maamuzi kazini nk.
Umenena vema kabisaMitazamo ya Kitofauti Kuhusu Maisha
1. Kuhangaika na Kupambana: Wapo wanaoamini maisha ni uwanja wa mapambano ambapo ni lazima jasho litoke ili kupata mkate wa kila siku.
2. Kufurahia na Burudani: Wengine wanachukulia maisha kama nafasi fupi ya kufurahia, kusafiri, na kujenga kumbukumbu nzuri kabla ya muda kuisha.
3. Kuhudumia na Kutoa: Kuna kundi linalopata jibu la maisha kupitia kusaidia wengine, kujitolea, na kuacha alama chanya kwenye jamii.
4. Hatima ya Kiroho: Wengi hutumia misingi ya kidini au kiimani kupata majibu ya siri za maisha na kile kinachofuata baada ya kifo.
Kama usemi mwingine wa Kiswahili unavyosema, "Akili ni nywele, kila mtu ana zake," ni wazi kuwa hakuna kanuni moja inayomfaa kila mtu. Muhimu ni kupata "jibu" linalokuletea amani ya moyo na maana katika safari yako.
Nilikuwa na huu mpango sema nimeona kama nitatoka nje ya lengo la mleta mada, ndio maana nikataka amalizie mwenyewe ili nisiharibu mtiririko wake wa mawazo.Malizia tujifunze kitu mkuu
Mleta mada hana shida we leta tujifunze kakaNilikuwa na huu mpango sema nimeona kama nitatoka nje ya lengo la mleta mada, ndio maana nikataka amalizie mwenyewe ili nisiharibu mtiririko wake wa mawazo.
Nimeongeza angle mbili za kwenye maisha.Mleta mada hana shida we leta tujifunze kaka
Hadi nyie wakubwa🫣Mapenzi ndio yana run dunia
Kufuata maamuzi ya moyo kunaleta ari na furaha ya maisha, lakini ni lazima akili iongoze hatua ili usitumbukie kwenye majanga.Nilikuwa na huu mpango sema nimeona kama nitatoka nje ya lengo la mleta mada, ndio maana nikataka amalizie mwenyewe ili nisiharibu mtiririko wake wa mawazo.
NB. Haya maisha tunayoishi especially kwa waliomaliza vyuo wengi huwa na ndoto zao [wakisikiliza mioyo yao], bahati mbaya pressure wanayoipata toka kwa members wa familly huwakatisha tamaa kufuata mioyo yao hivyo kuwachelewesha kuyafikia malengo yao, wakiendelea kukaa tu home kusubiri ajira huku miaka ikienda.
Makazini napo, wengi huwa wanapenda kujiendeleza kimasomo, au wengine kuacha kazi wafanye kitu kingine [wote hawa husikiliza mioyo yao]. Lakini wengi wao huchukua muda sana kutimiza malengo yao hasa wakiwashirikisha watu wengine mipango yao.
Vyema hawa watu wafuate mioyo yao kwenye kufanya kile wapendacho, lakini wawe na akili ya kuchambua mbivu na mbichi wanazoshauriwa wa walioko karibu nao, ndio maana mleta mada anasema fuata moyo ila usiache akili yako.
Wow picha nzuri❤️Hayana umriView attachment 3602670
Hiyo gallery yako 😆
Nimekuelewa.Kufuata maamuzi ya moyo kunaleta ari na furaha ya maisha, lakini ni lazima akili iongoze hatua ili usitumbukie kwenye majanga.
Moyo ni injini inayokusukuma kutafuta mabadiliko kimasomo au kikazi na hata kimaisha, ilihali akili ni usukani unaokuepusha kugonga miamba ya kiuchumi na kijamii.
Unapoweka siri mipango yako, unaruhusu shauku ya moyo wako ijenge ndoto kubwa, huku ukitumia akili yako kufanya tathmini ya hatari na kuandaa akiba ya dharura.
Maisha yenye mafanikio yanahitaji usawa huu...!
moyo unaamua mwelekeo utakaokupa amani, lakini akili inatengeneza ramani thabiti ya kiutendaji inayofanya ndoto hiyo kuwa kweli bila kutegemea maoni ya nje.
View attachment 3602669
Ulininukuu vibaya🤣Kwenye uzi fulani tena wa kwangu
Si kweli, muulize babu yako.Kweli tupu
Kwanza umetoka wapiSi kweli, muulize babu yako.
Na bado nakwambia🤣
Mjukuu swali gani hilo jamani🤣🤣🤣Kwanza umetoka wapi
Sikuoni wewe wala babu 🤣🤣Mjukuu swali gani hilo jamani🤣🤣🤣