Babu yako hata sijui yuko wapi!! Mie sikuwa na bando🫣🫣Sikuoni wewe wala babu 🤣🤣
Unakosaje bundle aisee ERoniBabu yako hata sijui yuko wapi!! Mie sikuwa na bando🫣🫣
Nitafutie msukuma shee, wapare sio watu🤣Dah..😀🙌🏿
Kwani yule babu ni mpare kumbe 😅😅 aloooNitafutie msukuma shee, wapare sio watu🤣
Ni viatu..Wapare sio watu... ! 😆🥱
Ndioooo🤣🤣Kwani yule babu ni mpare kumbe 😅😅 alooo
Si ndio🤣🤣..Wapare sio watu... ! 😆🥱
Umeanza we mzee!tumeugawa mwaka, tuko sehemu ya pili ya mwaka ama sehemu ya kwanza ya kipindi cha pili je unajua tafsiri yake kiroho? | JamiiForums Tanzania Tumeugawa mwaka, tuko sehemu ya pili ya mwaka ama sehemu ya kwanza ya kipindi cha pili je unajua tafsiri yake kiroho?
Pole Mahi wapare sio watu lolNdioooo🤣🤣
Sijapoa kwakweli, hadi nipate msukuma.Pole Mahi wapare sio watu lol
Nasikia wana mapenzi ya kweli 😅Sijapoa kwakweli, hadi nipate msukuma.
🤣🤣🤣🤣Nasikia wana mapenzi ya kweli 😅
Hakikisha yupo single hana mtu ndio uta enjoy bibi
Uwiiiii! Hao sasa si ndio vichomi+++++Mchaga ndio atakufaa shee