The622
Member
- Mar 5, 2023
- 55
- 111
Habari Wakuu,
Kila mmoja anatafuta nini afanye kudumu kwenye penzi haijalishi ni ndoa au mahusiano ya kawaida.
Ukweli ambao inawezekana hatuujui ni kuwa ,HAKUNA kanuni maalum ya kulinda penzi lako ila tu ile ambayo utajipangia mwenyewe.
Asikudanganye mtu anavoishi na mkewe au mumewe eti nawe ndio uishi hivyo.
Na hapa ndio kanuni ya ukiambiwa changanya na za kwako inapofanya kazi.
Kuna watu ni rahisi kudanganyana kwenye vikao ,Vijiwe kwamba ishi hivi au ishi vile na mwenzio na akatoka hapo kaubeba ushauri huo na kwenda moja kwa moja kuapply pasi hata na kuchunguza kwa kina,Mwanzo na hata mwisho wake.
Wapo wameshindwa kuwashirkisha siri muhimu wapenzi wao ,wapo ambao hawajui kipato halisi cha mwenza wake ,wapo wanaojenga pasi na kuwaambia watu wao wa karibu kama mke mume ,na mwisho majuto yanakuja kuwa makubwa.
Muhimu ndugu yangu ,Asikupangie mtu maisha ,Hivyo namna gani utaishi kwenye nyumba,ndoa au mahusiano yako wewe ndio mwenye Kulipanga.
Mwisho kubaliana na matokeo yatakayojitokeza kwa vile ulivoamua kuishi.