Johsal
Senior Member
- Oct 23, 2014
- 164
- 145
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna uoga chief.
Mkuu kuongeza option ya GESI kwenye gari ni bei gani kwa hapa bongo?Mkuu sizipendi kabisaa gari za diesel. ....vile zilivyo nzito, vile service ya diesel ni kubwa, vile zina muungurumo na zikianza kuchoka moshi debe. Hapo bado nitakuwa nimejinyima kubadili option ya gesi nikitaka so naona ni stress!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti inanifilisi...kuna kitu umenikumbusha mkuuMkuu we nunua tu,mambo ya mafuta usiyafikirie sana unaweza kubadili uamuzi.Mi kuna moja inanifilisi,lakini najaribu kuitumia kwa safari ndefu tu,mishe mishe za karibu situmii.
Kudrive hasa kwenye gari kali raha sana asee, unaweza hisi umeibeba dunia[emoji16][emoji16]...nachukia trafiki na foleni tu barabaraniInaonekana ni engine powerful na stable sana barabarani. Nilishawahi kuwa na Nissan Terrano, dah wese inakunywa ila kuendesha ni raha sana.
Sio mchezo cc4600 halafu petrol....kipindi unaela ndio unatumia zaidi ya hapo inakuwa inapigwa jua tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti inanifilisi...kuna kitu umenikumbusha mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
4600cc unaweza kuwa kichaa au uishie kudanga kama b22Sio mchezo cc4600 halafu petrol....kipindi unaela ndio unatumia zaidi ya hapo inakuwa inapigwa jua tu
Ni kweli kama una ruti ya mkoa kwa mkoa na hakuna kusimama simama njiani ni mazuri,ila mishen town haifai4600cc unaweza kuwa kichaa au uishie kudanga kama b22
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]B kumi na 2 si ana altezza4600cc unaweza kuwa kichaa au uishie kudanga kama b22
Inunulie cover lake...kkoo wanakushonea kwa laki mbili tu mkuu[emoji16]Sio mchezo cc4600 halafu petrol....kipindi unaela ndio unatumia zaidi ya hapo inakuwa inapigwa jua tu
Itabidi nifanye hivyo ingawa niko ArushaInunulie cover lake...kkoo wanakushonea kwa laki mbili tu mkuu[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]B kumi na 2 si ana altezza
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema Altezza ya kuhongwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]B kumi na 2 si ana altezza
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeichek nissan elgrand asee ipo classic sema cc zimeenea inaizid kwa mbali prado za kuunga-ungaKudrive hasa kwenye gari kali raha sana asee, unaweza hisi umeibeba dunia[emoji16][emoji16]...nachukia trafiki na foleni tu barabarani
Sent using Jamii Forums mobile app
Itabidi nifanye hivyo ingawa niko Arusha
blog.beforward.jp