Fuel Consumption ya Nissan Elgrand

Fuel Consumption ya Nissan Elgrand

Mkuu sizipendi kabisaa gari za diesel. ....vile zilivyo nzito, vile service ya diesel ni kubwa, vile zina muungurumo na zikianza kuchoka moshi debe. Hapo bado nitakuwa nimejinyima kubadili option ya gesi nikitaka so naona ni stress!
Mkuu kuongeza option ya GESI kwenye gari ni bei gani kwa hapa bongo?
 
Inaonekana ni engine powerful na stable sana barabarani. Nilishawahi kuwa na Nissan Terrano, dah wese inakunywa ila kuendesha ni raha sana.
Kudrive hasa kwenye gari kali raha sana asee, unaweza hisi umeibeba dunia[emoji16][emoji16]...nachukia trafiki na foleni tu barabarani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii gari imeanza kuwa maarufu awamu hii
 
Hii gari imeanza kuwa maarufu awamu hii pengine vyuma
 
Back
Top Bottom