Fuels Economy family car

Fuels Economy family car

THE BROKER

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
743
Reaction score
915
Wakuu naomba ushauri wa family car nzuri yenye wastani wa sifa zifuatazo:

1. Seating capacity from 7 packs
2. Fuels economy I.e. engine capacity less than 2000cc
3. Super body appearance
4. Suv
5. Super interior design
6. Offroad suitability
 
Picha mkuu
Screenshot_20230906-220420.jpg
Screenshot_20230906-220357.jpg
 
Go for Toyota Wish, second generation (2009+). It's a seven seater station wagon. Chukua yenye injini ya 2ZR-FAE, ambayo ni improved model ya 1ZZ-FE (1800cc). Ila kwenye bei ni kuanzia 18mil.

Kwa sasa USD ilivyo changamoto, huenda bei ikafika 20mil. Kama bajeti itakuwa changamoto, go for first generation. Changamoto zake ni kuwa ziko chini (ground clearance). Itabidi ufunge spacer au tairi kubwa zaidi.

Sijui kama utapata SUV kwa sifa hizo ulizotaja. Labda iwe crossover.
 
Shukrani Mkuu kwa maelezo kuntu. Wataalam wanasema ukiweka Spencer gari inakosa balance hasa ukiwa speed. Unayajua magari Kiongozi.
With thanks..
 
Nina Toyota Voltz, ilifika June toka Japan. Kutokana na changamoto za barabara ninapoishi, nimeiinua mbele kwa kufunga spacer. Hapa mjini (DSM) nishafika hadi 120kph bila kuona hiyo balance ikipotea. Otherwise kuna imbalanced wheels au poor wheel alignment.
 
Bravo Brother!
 
Shukrani Kiongozi. Unaweza weka detailed info zaidi kwa kila category uliyoshauri? Kama inawezakana Kaka
Kama unataka fuel efficient car, hakuna atakaemshinda Hybrid. Zinaenda hadi 25 km/L na kuna muda zinaenda full EV ata kwa kilometa 5.

Prius kwa size ni kubwa, inataka ifanane na Toyota Wish (kwa size).

Kwa bei za wese zinavyoenda, I wish ningenunua Prius, ila ndio ivyo.
 
Back
Top Bottom