Seat 7 itabidi uende wakina Nissan Serena ina seat 8. Nae ni Hybrid ila Hybrids za Nissan sina ujuzi nazo.
View attachment 2742074
Pia kuna Honda Freed ina seat 6 nayo ni Hybrid. Hybrids za Toyota na Honda ni nzuri na kidogo nazijua.
View attachment 2742076
Kama sio Hybrid izo ni Family car aka Mini Van kukuta ina cc ndogo ni ngumu kwakua inataka power. Hizo Alphare ni V6 usitegemee ikanusa mafuta.
Sijajua kwann unataka iwe kubwa ivo unless unataka iwe school bus lakini katika matumizi ya kawaida sio kila siku mtakua mnatoka watu 7 kwenye familia mnaenda sehemu moja, ndio maana nikasema unless iwe ina matumizi special.
Kama kwa biashara, nenda na Noah.