THE BROKER
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 743
- 915
- Thread starter
- #81
Mimi naona niopt for honda crossroad wazee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yah halfu premio new model ina muonekano mzuri sana hususani interior designNa hiyo ndio factor kubwa ya kuchagua magari,kwa kuwa ktk maisha yote utayokaa na hiyo gari,ununuaji wa mafuta utakuwa ni fixed cost,so lazima uchague utakachokimudu.
Pia hizo brand zote ni nzuri,ila ukipata premio new model yake nayo inakula wese vizuri sana sema bei yake imechangamka kidogo.
Kama umeprefer ni sawa chiefMimi naona niopt for honda crossroad wazee
kina seat ngapi?Yeah. Hybrid kile kidude. Kuna mwamba kanunua kakiweka Uber. Anaendesha mwenyewe. Faida ataiona sana.
Chukua Mitsubishi Outlander bro. Engine NO. 4B11 ambayo ni CC 2000 (1990)Mimi naona niopt for honda crossroad wazee
Engine kama ndogo Kwa hii gariChukua Mitsubishi Outlander bro. Engine NO. 4B11 ambayo ni CC 2000 (1990)
Engine hii ina option 2 ambazo
1: Moja inakuja na 7 seater configuration na nyingine 5 seater configuration.
2: Drive train utapata yenye either 4WD au FWD
3: Gari ipo na Decent Ground Clearance
4: Kama hutatumia 7 seat zote basi gari ipo na ample boot space hivyo kuifanya kuwa ni more practical.
5: Ndani ipo spacious (leg room na head room ni kubwa)
6: Gari inakuja na Built in Subwoofer hivyo kufanya kuwa na burudani ya kutosha wakati wa safari
7: Ukitulia kwenye kuchagua unaweza pata 20G ( High Trim Level) ambayo inakuja na features nyingi kama Sunroof, adaptive cruise control, steering control button, leather interior, traction control, AS&G (Auto Stop and Go)
8: Hizi gari zinakuja na Continuous Variable Transmission (CVT) ambayo inatumia gear ratio kubadili gear (simulation) tofauti na zile traditional automatic transmission hivyo kuifanya kuwa na fuel efficiency nzuri (10-12 mjini) na 10-16 Highway)
9: Spare parts kidogo ni ghari ila ukifunga genuine zinadumu sana na kingine (Gearbox Oil yake ni CVTF-J1 au J4 ndio recommended zaidi ya hapo ni majanga, engine oil ni either 0W-20 au 5W-30. Ukifanya hivyo myfriend utakuwa sorted. Mengine wataongezea wengine.View attachment 2761019
Ambatanisha picha mkuuToyota raise 40km per litre ila bado mpya sana hivo bei moasi
Uamuzi mzuri.Honda crossroad ni bora mkuu.Nnayo mwaka sasa ni moja ya family car nzuri na bei yake nafuu.Ulaji wa mafuta mzuri na ipo stable barabaran.Mimi naona niopt for honda crossroad wazee
http//youtu.be/B-QXCCkTRuY?si=crhefCuaj7ol2f6nAmbatanisha picha mkuu
Www.youtu.be/B-QXCCkTRuY?si=crhefCuaj7ol2f6nAmbatanisha picha mkuu
Matumizi mazuri ya petrol unayapa kwa kuendesha wastani wa 65km/h hadi 90km/h hivi.
Hii inamaanisha ukienda pole pole yanaongezeka na ukienda kasi zaidi ya hapo yanaongezeka
Lakini kuna sababu nyingine zinazochangia kutumia mafuta mengi kama
Kubeba mzigo mzito, kutokufanya sevice kwa wakati, kutokutumia vilainishi (Oil) sahihi, kuendesha kasi huku umefungua vioo nk nk