THE BROKER
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 743
- 915
Picha mkuuHonda Crossroads Second Gen
Shukrani Mkuu kwa maelezo kuntu. Wataalam wanasema ukiweka Spencer gari inakosa balance hasa ukiwa speed. Unayajua magari Kiongozi.Go for Toyota Wish, second generation (2009+). It's a seven seater station wagon. Chukua yenye injini ya 2ZR-FAE, ambayo ni improved model ya 1ZZ-FE (1800cc). Ila kwenye bei ni kuanzia 18mil.
Kwa sasa USD ilivyo changamoto, huenda bei ikafika 20mil. Kama bajeti itakuwa changamoto, go for first generation. Changamoto zake ni kuwa ziko chini (ground clearance). Itabidi ufunge spacer au tairi kubwa zaidi.
Sijui kama utapata SUV kwa sifa hizo ulizotaja. Labda iwe crossover.
Vipi hiyo cross_road aliyoshauri mdau hapo?Shukrani Mkuu kwa maelezo kuntu. Wataalam wanasema ukiweka Spencer gari inakosa balance hasa ukiwa speed. Unayajua magari Kiongozi.
With thanks..
Nina Toyota Voltz, ilifika June toka Japan. Kutokana na changamoto za barabara ninapoishi, nimeiinua mbele kwa kufunga spacer. Hapa mjini (DSM) nishafika hadi 120kph bila kuona hiyo balance ikipotea. Otherwise kuna imbalanced wheels au poor wheel alignment.Shukrani Mkuu kwa maelezo kuntu. Wataalam wanasema ukiweka Spencer gari inakosa balance hasa ukiwa speed. Unayajua magari Kiongozi.
With thanks..
Bravo Brother!Nina Toyota Voltz, ilifika June toka Japan. Kutokana na changamoto za barabara ninapoishi, nimeiinua mbele kwa kufunga spacer. Hapa mjini (DSM) nishafika hadi 120kph bila kuona hiyo balance ikipotea. Otherwise kuna imbalanced wheels au poor wheel alignment.
Shukrani Kiongozi. Unaweza weka detailed info zaidi kwa kila category uliyoshauri? Kama inawezakana Kaka1. Toyota Prius
2. Toyota Aqua
3. Honda Insight
Kula vyuma Hybrid hivo. Budget Mil 15 hadi 20 unapata.
Category ipi MkuuGo for Toyota Alphard hutojutia mkuu
Alphard acha mzee. Tatizo ilo.Category ipi Mkuu
Kama unataka fuel efficient car, hakuna atakaemshinda Hybrid. Zinaenda hadi 25 km/L na kuna muda zinaenda full EV ata kwa kilometa 5.Shukrani Kiongozi. Unaweza weka detailed info zaidi kwa kila category uliyoshauri? Kama inawezakana Kaka