Fuels Economy family car

lakini Prius ina seating capacity 5 tu.
 
lakini Prius ina seating capacity 5 tu.
Seat 7 itabidi uende wakina Nissan Serena ina seat 8. Nae ni Hybrid ila Hybrids za Nissan sina ujuzi nazo.


Pia kuna Honda Freed ina seat 6 nayo ni Hybrid. Hybrids za Toyota na Honda ni nzuri na kidogo nazijua.



Kama sio Hybrid izo ni Family car aka Mini Van kukuta ina cc ndogo ni ngumu kwakua inataka power. Hizo Alphare ni V6 usitegemee ikanusa mafuta.

Sijajua kwann unataka iwe kubwa ivo unless unataka iwe school bus lakini katika matumizi ya kawaida sio kila siku mtakua mnatoka watu 7 kwenye familia mnaenda sehemu moja, ndio maana nikasema unless iwe ina matumizi special.

Kama kwa biashara, nenda na Noah.
 
Acha ubishi wewe, gari unapoweka spacer balance inapungua na ndio maana unapopata changamoto barabarini ambayo ikakupelekea gari kuyumba wakati upo kwenye mwendo mkali ni rahisi kuanguka kwa maana centre of gravity ya gari inakuwa haipo sawa
 
120 kwa voltz bado hujaitest wenzako wanaweka 170 na iko stable.
 
Ni kitu gani hii
Kirefu chake ni 'Sports Utility Vehicle'. Kwa ufupi ni gari za juu (high ground clearance), mara nyingi zinakuwa na 4 wheel drive na pia zina uwezo wa kutembea off-road bila changamoto. Mf. Toyota Land Cruiser
 
Mbona nimeziona ziko pia za hybrid befoward au ni uongo?

Sent from my CPH1823 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…