Fuels Economy family car

Yah halfu premio new model ina muonekano mzuri sana hususani interior design
 
Mimi naona niopt for honda crossroad wazee
Chukua Mitsubishi Outlander bro. Engine NO. 4B11 ambayo ni CC 2000 (1990)
Engine hii ina option 2 ambazo
1: Moja inakuja na 7 seater configuration na nyingine 5 seater configuration.
2: Drive train utapata yenye either 4WD au FWD
3: Gari ipo na Decent Ground Clearance
4: Kama hutatumia 7 seat zote basi gari ipo na ample boot space hivyo kuifanya kuwa ni more practical.
5: Ndani ipo spacious (leg room na head room ni kubwa)
6: Gari inakuja na Built in Subwoofer hivyo kufanya kuwa na burudani ya kutosha wakati wa safari
7: Ukitulia kwenye kuchagua unaweza pata 20G ( High Trim Level) ambayo inakuja na features nyingi kama Sunroof, adaptive cruise control, steering control button, leather interior, traction control, AS&G (Auto Stop and Go)
8: Hizi gari zinakuja na Continuous Variable Transmission (CVT) ambayo inatumia gear ratio kubadili gear (simulation) tofauti na zile traditional automatic transmission hivyo kuifanya kuwa na fuel efficiency nzuri (10-12 mjini) na 10-16 Highway)
9: Spare parts kidogo ni ghari ila ukifunga genuine zinadumu sana na kingine (Gearbox Oil yake ni CVTF-J1 au J4 ndio recommended zaidi ya hapo ni majanga, engine oil ni either 0W-20 au 5W-30. Ukifanya hivyo myfriend utakuwa sorted. Mengine wataongezea wengine.
 
Engine kama ndogo Kwa hii gari
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…