🚨Fuga App sasa ipo live playstore !! Usiikose wewe mfugaji wa kuku

🚨Fuga App sasa ipo live playstore !! Usiikose wewe mfugaji wa kuku

Brayan_Jk

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2025
Posts
210
Reaction score
250
Baada ya muda wa kuzungumza na wafugaji, kusikiliza changamoto zao na kujifunza kutoka kwao hatimaye Fuga App ipo hewani kwenye Play Store! 🐔📱
Google Play Poster.png


Tunashukuru kwa moyo mmoja kwa usaidizi wenu kwa wafugaji wote mliochangia maoni, timu yetu kwa juhudi kubwa, na kila mmoja aliyeamini kuwa jambo hili linawezekana.
1750426990574.png

Hii ni hatua ya mwanzo tu... mambo mazuri yanakuja mbele! 🙌
📲 Pakua Fuga App sasa: [Fuga - Apps on Google Play]
 

Attachments

  • Fuga App Launch Poster .png
    Fuga App Launch Poster .png
    485.4 KB · Views: 40
Inahusu nini?
Fuga ni App ya bure ya simu inayosaidia wafugaji wa kuku kusimamia shughuli zao za kila siku kwa urahisi. Inakusaidia kufuatilia matumizi, kuuza, kupata ratiba za chanjo, kukumbushwa kwa SMS, na kujua lini chakula cha kuku kitaisha. Ni kama msaidizi wako wa kuku kwenye simu
 
Back
Top Bottom