Ipo Playstore boss tumia link hii ya playstore [Fuga - Apps on Google Play]Mbona haipatikani play store?
Fuga ni App ya bure ya simu inayosaidia wafugaji wa kuku kusimamia shughuli zao za kila siku kwa urahisi. Inakusaidia kufuatilia matumizi, kuuza, kupata ratiba za chanjo, kukumbushwa kwa SMS, na kujua lini chakula cha kuku kitaisha. Ni kama msaidizi wako wa kuku kwenye simuInahusu nini?