Jamani chuo kikuu cha dr es salaam leo hapaeleweki, kwani maktaba imefungwa, watu kutoka hostel za mabibo wametembea kwa miguu mpaka hapa,
na inasemekana kutakuwa na maandamano mpaka kwa rais, kudai fedha za kukjikimu ziongezwe kutoka 5000kuwa 10000.
We ngoja tu utasikia taarifa za kiintelenjisia zinasema kuna mkono wa wanasiasa hususani wapinzani! Serikali inabidi ijichunguze dawa si kuzima maandamano bali kupata message ya waandamanaji ni nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.