Fujo,fojo fujo

Fujo,fojo fujo

MWAKIGOBE

Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
65
Reaction score
3
Jamani chuo kikuu cha dr es salaam leo hapaeleweki, kwani maktaba imefungwa, watu kutoka hostel za mabibo wametembea kwa miguu mpaka hapa,
na inasemekana kutakuwa na maandamano mpaka kwa rais, kudai fedha za kukjikimu ziongezwe kutoka 5000kuwa 10000.
 
Kama uko maeneo ya karibu tujuze zaidi, ikiwezekana upate na ruti yao kuelekea state house.
 
Huo msafara umefika maeneo gani? nataka niupitie denge,
 
... Nakuja wadogo zangu, niko njiani. Kafoleni hapa Morocco... Kipenga kimeanza kulia...
 
baada ya maandamano kusambaratishwa mitaa ya mlimani city, sasa waandamanaji wamekutana mwenge na wanasonga mbele. lengo ni moja kufika ikulu.
 
We ngoja tu utasikia taarifa za kiintelenjisia zinasema kuna mkono wa wanasiasa hususani wapinzani! Serikali inabidi ijichunguze dawa si kuzima maandamano bali kupata message ya waandamanaji ni nini?
 
wamefika wapi wanafunzi wa UDSM jamani/ wameishaonana na mkwere au wamepigwa mabomu???
 
Back
Top Bottom