Uchaguzi 2020 Fujo kwenye mikutano ya kampeni ni vitendo vya kukemea

Kuna tofauti kubwa sana kati ya Hai na Kagera , Hai kulikuwa na kikosi kimeandaliwa kumdhuru Lissu na Mbowe ambacho kiliandaliwa na DC , Kagera wananchi wameulizwa kama watamchagua Magufuli wakasema hawatamchagua , jambo ambalo ni la kidemokrasia tu
Leta video clip sisi tulikuwa tunaangalia live siyo mikutano yenu haionyeshwi live ila huwa mnaibuka na viclip vya kizushi tu.
 
Aaah wapi, ni uzushi tu wa mitandaoni, na Baadhi ya watu walitegemea kusingelitokea mwitikio mkubwa kama huo na Baadhi Yao kutegamea kwamba atazomewa tu kulingana na ukweli wa Magufuli kuwaambia Yeye hakuleta tetemeko bukoba...
Acha uwongo. Mm niko Bukoba na nimeshuhudia kilichotokea.

Alisema cccm oyeeee!
Kisha aliuliza wangapi watamchagua Magufuli?

Ndiyo sauti za "hatukutakiii"" zilsikika kutoka umati wa watu wupande mmojawapo.

Mgombea akapaniki na kuamuru wakamatwe. S
 
Kwanini aliagiza wakamatwe?
 
Mbona huweki za Bukoba mjini hizi ni za njiani tu akisimamishwa na wananchi
Tulia wewe hao ndio wanaleta nyomi.

Mama nyerere alikiri aliletwa kuongeza idadi hakuta kuja[emoji23][emoji23][emoji111][emoji111]


Ni yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…