Fujo la udini Nigeria

Fujo la udini Nigeria

demo62.jpg

demo62_thumb.jpg
demo61_thumb.jpg
demo60_thumb.jpg
demo59_thumb.jpg

Kiongozi wa kikundi cha waislam auawa Polisi imesema aliyekuwa kiongozi wa Makundi ya kiislam yajulikanayo kama Boko Haram nchini Nigeria bwana Mohammed Yusuf, imeripotiwa amekufa kwa kupigwa risasi akiwa mikononi mwa polisi.
 
uslam inabidi uangaliwe vizuri sana..maana naona magaidi wengi wanautumia kufanya ushenzi wao na umwagaji wa damu..sidhan kama dini inafundisha hivyo..itakuwa tu watu wachache wanautumia uislam vibaya..na ni jukumu la waislam kusimama kidete maana mwishowe mtaonekana waisla wote ni magaidi tu.
pole zao waliokufa ambao hawausiki..lkn wengi wao we r told ni islamic militants who were deserving to die..
Nani alikudanganya haifundishi hivyo?
Can't you see what they do all over the world?
Fuatilia utajua kuwa wanafundishwa hivyo!🙁
 
demo62.jpg

demo62_thumb.jpg
demo61_thumb.jpg
demo60_thumb.jpg
demo59_thumb.jpg

Kiongozi wa kikundi cha waislam auawa Polisi imesema aliyekuwa kiongozi wa Makundi ya kiislam yajulikanayo kama Boko Haram nchini Nigeria bwana Mohammed Yusuf, imeripotiwa amekufa kwa kupigwa risasi akiwa mikononi mwa polisi.
WARNING: The following image is disturbing.
2.jpg


mwili wa Shehe muhamed yusufu ukiwa umetobolewa tobolewa na risasi......nawashukuru jeshi la Nigeria kwa kazi nzuri
 
Last edited by a moderator:
WARNING: The following image is disturbing.
2.jpg
mwili wa Shehe muhamed yusufu ukiwa umetobolewa tobolewa na matundu ya risasi......nawashukuru jeshi la Nigeria kwa kazi nzuri

Shehe huyu. lol
 
hawa watu kiburi chao kinatkiwa kumalizwa kwa bunduki tu hivyo, manake hawana masikio. dini yao ya kuzimu haina masikio, shetan anawasumbua. ndo maana hata hawaendi shule. mwamed aliwadanganya sana kwakweli, na watajuta siku moja.

Hawa jamaa kinachowasumbua ni kupenda zinaa na hii wanafanya ili wawahi huko walikoahidiwa kupewa mabikira 72. Laiti sasa wangeweza kuwaambia huko waliko hawa wenzao wangekoma kufanya huu uhuni wao. Hizi imani za kishetani ni hatari sana kuwepo hapa duniani.
 
Quran ndo inawafundisha hivyo. Angalieni hii mifano hapa chini.

Islamic terrorists consistently refer to the teachings of their religious texts to sanction their violence.

1. All Islamic terrorists arrested by police in Europe – like Mohammed Bouyeri, the murderer of filmmaker Theo Van Gogh in Amsterdam, Netherlands -- readily cited the Qur'an as their teacher to commit their crimes. Bouyeri confessed his guilt and showed no remorse for his act of Islamic slaughter. During the court trial he stated to the victim's mother: "I don't feel your pain because I was driven by my religious conviction." He also said, "If I were released and would have the chance to do it again…I would do exactly the same thing." At another point he said to the victim's mother, "I have to admit I don't have sympathy for you. I can't feel for you because I think you are a non-believer."


2. In the train terrorism incident in Madrid, Spain, the Islamic terrorists were all longtime residents of Spain -- and North American and Syrian born. They admitted to police that they were inspired by the Qur'an and the doctrines of Islam to rise up against their adopted host country to kill 191 Spanish innocent citizen.


3. During 2005-2006, in Bangladesh experienced an epidemic of bomb blasts by Islamic terrorists (homegrown in Bangladeshi) which included scores of suicide bombings to kill judges in the various court premises. In this process of suicide bombing attempts, two terrorists were captured by the police. When asked by reporters why they were going to kill people by suicide, they answered: "We were doing it by the order of the Qur'anic instructions by Allah."


When Bangladesh terrorist leaders Maulana Shaikh Rahman and Bangla Bhai were captured by police, Maulana Shaikh Rahman explained their actions: "We did it to establish Allah's laws in Bangladesh and we were doing it according to the Quran." Showing one copy of the Qur'an in his hand, Maulana said: "If I am a terrorist, then the Qur'an is also a terrorist."

Jamaa huyu wa mwisho anadai kama yeye ni gaidi basi na quran ni gaidi, kazi kweli kweli
 
Sharia inafanya kazi kweli Nigeria. Hii kitu sharia lazima ipigwe fullstop hapa Tanzania.
 
Polisi imesema aliyekuwa kiongozi wa Makundi ya kiislam yajulikanayo kama Boko Haram nchini Nigeria bwana Mohammed Yusuf, imeripotiwa amekufa kwa kupigwa risasi akiwa mikononi mwa polisi.

Polisi imesema aliyekuwa kiongozi wa Makundi ya kiislam yajulikanayo kama Boko Haram nchini Nigeria bwana Mohammed Yusuf, imeripotiwa amekufa kwa kupigwa risasi akiwa mikononi mwa polisi.

Yusuf, anatuhumiwa na polisi kwa kusababisha mauaji ya maelfu ya watu huko Kaskazini mwa Nigeria, ameuwa kufuatiwa na kukamatwa kwake siku ya ijumaa.

Ameshauawa manaweza kuja na kuhushuhudia mwili wake kwenye makao makuu ya polisi, alisema bwana Isa Azare msemaji wa kikosi cha polisi huko kaskazini mwa mji wa Maiduguri.
Tangzazo hilo lilitolewa baada ya taarifa za zilizosema kuwa mamia ya watu wameuawa na wengine wamepotea kutokana na mapigano kati ya majeshi ya serikali na wapiganaji wa vikundi vya Boko Haram, ambao wanalazimisha sheria za kiislam kwenye nchi zenye watu wengi Africa.
 
Last edited by a moderator:
Salaam toka mlimani .
Nimekuwa msomaji wa muda mrefu sana haa .JF ni hodari sana kw aissues za Kitaaifa na Kitaifa na vijimatukio.Ila nimeona jambo hili la Nigeria watu kuuana hapa halijaguswa kabisa .Kiini wanasema western values kuwa introduced eneo lile kama education system nk .

Nina maswali haya
1.Eneo lile nao walianza na madai ya haki za waislam ndipo wakaamua kusema litawaliwe na sharia ?

2.Je walikisha kuwa na sharia ina maana wale wasio waislma walipaswa kuondoka ama walitakiwa kuishi kufuata sharia ?

3.Wakisha weka sharia ina maana Serikali sasa inakuwa imetupwa mambo yanakuwa kama porini tu kwa wanyama wakubwa na wadogo ama kule kwa Talebani ?

Ni haya tu kama kuna wachambuzi zaidi wanipe mwangaza nione mbele .Asanteni
 
Waulize wanaotaka mahakama ya Kazi ..sorry ya Kadhi..nadhani watakupa majibu mujarabu kwa mambo haya yanakuwajekuwaje.
 
Nina amini nitapewa majibu kwa uhakika nangoja hapa mlimani huku naendelea na kazi yangu .
 
Du Elimu ya magharibi ndo chanzo ya maendeleo kwa miaka mingi!

Nadhani upeo ni kidogo!

Naona hawawezi kufikiria beyond the box!
 
Scale of Nigerian unrest emerges

_46143290_-19.jpg

Maiduguri was largely quiet with the streets cleared of bodies


Around 700 people were killed in the city at the centre of the recent wave of violence in Nigeria, according to a senior regional military official. Col Ben Ahanotu, head of security in Maiduguri, said that mass burials had begun there. An earlier tally of victims of the unrest, in which police battled Islamists, put the figure at 400.

Life in the affected areas is now beginning to return to normal with banks and markets reopening. Col Ahanotu said the compound of the Islamist sect behind the violence was being used as one of the burial sites because bodies were decomposing in the heat.

He told the Associated Press news agency that officials gathering bodies had found "almost 700".

The compound used by the Boko Haram sect was destroyed by government troops and is now smouldering rubble. More members of the sect have been arrested in house-to-house searches across northern Nigeria and the military said most would be prosecuted.

Maiduguri is the capital of Borno state but the fighting spread to cities across the north of the country and the total death toll is unknown.

A military spokesman said two of those killed were soldiers and 13 were police officers. The number of injured, meanwhile, is still being counted. The Red Cross had earlier said about 3,500 people fled the fighting. The violence ended on Thursday when the sect's leader, Mohamed Yusuf, was killed by police.

The controversy surrounding his death continues. The police say he was killed in a shoot-out while he was being detained. But Col Ahanotu says he captured him and handed him over alive.

http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/8180089.stm
 
_46137946_007715301-1.jpg


_46137947_007712861-1.jpg


_46137948_007712829-1.jpg

Members of the Boko Haram want Sharia Law already in force in Northern Nigeria, imposed around the whole country


_46137949_007716149-1.jpg

Some people took refuge in police stations to escape the fighting.


_46137950_007720740-1.jpg

After an all out assault, security forces captured sect leader Mohammed Yusuf. He was later shot dead in circumstances that are unclear

_46137951_007719941-1.jpg

Hundreds of people are thought to have been killed in the clashes since Sunday. Most of them in Maiduguri
 
Dini zingine afwazali zisinge kuwepo kabisaa, maana kila kukicha wanajambo. Yaani wao ni wakwanza kwa kila balaa. lol
 
Du Elimu ya magharibi ndo chanzo ya maendeleo kwa miaka mingi!

Nadhani upeo ni kidogo!

Naona hawawezi kufikiria beyond the box!

Mvutamba hawa jamaa walianza kama sisi tunavyo anza sasa Mahakama ya Kadhi , OIC na baadaye tutaingia maeneo ya waislam na tutasema sasa sharia na mwishowe kujitawala .

Kupinga Elimu ya magharibi hili ni kubwa sana .Watu wengi wamekufa na leo kuna watu tunalia hapa na mambo ya kadhi , na OIC .Nadhani Nigeria imetoa fundisho.
 
Back
Top Bottom