Fujo Uwanja wa Benjamin Mkapa: Aibu kwa Taifa na Tishio kwa Mafanikio ya Michezo

Ao Simba watafutiwe uwanja usio na viti uko ndio hadhi Yao.
Kuruhusu mechi za shirikisho kuchezwa Benjamin Mkapa ni ku utia aibu uwanja, waende wakachezee Karume pale Tff.
 
Sehemu zote walizokaa mashabiki wa simba hakukuwa na Fujo ni mautopo ndio yalichanganyikiwa baadà ya Simba kupata BAO la ushindi
 
Reactions: BRN
Utopolo amepogea kule Lumbumbashi mbona hamuandiki
 
Vyooni hakufai.
 
Umeshinda halafu unang"oa viti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…