Kikao cha Wachezaji, Benchi la Ufundi, Kamati ya Mashindano na Uongozi wa Juu wa Yanga kilichofanyika hivi karibuni kujadili hali timu katika Ligi: Uongozi waliwapa nafasi wachezaji kwanza kuzungumza, mzunguzaji wa kwanza alikuwa ni nahodha msaidizi Kevin Yondani ambaye yeye alielekeza lawama zake kwa Kamati ya Mashindano akisema haijasimama vizuri kwenye nafasi yao kwani imewaacha kama wakiwa, hakuna hamasa yoyote, tunakwenda kupambana bila hamasa na hata kama hakuna fedha, lakini wakituandaa kisaikolojia ingetusaidia, ndio maana inafika mahali wachezaji wenyewe kwa wenyewe tunagombana.
Wapili alikuwa ni Obren Chirwa yeye alisema kufanya kwao vibaya kunatokana na uongozi kusajili wachezaji wengi vijana usajili ambao hakuzingatia udhoefu, hata hivyo kabla hajamaliza kueleza aliingiliwa na Nahodha wa timu Nadir Haroub kwa kumtaka kufuta kauli yake, kwani haikuwa nzuri kwa wachezajilike waliopo sasa ndani timu, INA wavunja moyo na kumwambia hata yeye alikuwa chipukizi akaibuka kuwa mdhoefu.
Baada ya kauli ya Canavaroh aliingilia Ibrahim Ajibu alimshutumu Obren Chirwa kwa kuwa ana tabia ya kudharau wachezaji wenzake kimchezo tabia hiyo imekuwa ikikwaza wengi abadilike sasa na kuacha tabia ubinafsi, hii ni timu inahitaji ushirikiano kupata matokeo.
Aidha, baada ya maelezo ya wachezaji Kamati ya Mashindano iliahidi kuwa bega kwa bega na wachezaji katika kila mechi.
Uongozi nao ukasema inatambua thamani ya wachezaji ndani ya klabu kwa kushughulikia masuala yao kiutawala kwa wakati na wao kutambua ukubwa wa klabu wanaoichezea.