Fukuto kubwa laibuka Yanga; wachezaji wanyoosheana vidole, Canavaro amwambia Chirwa kaa kimya wataka kuzipiga

beal

Senior Member
Joined
Dec 30, 2012
Posts
114
Reaction score
60
Kikao cha Wachezaji, Benchi la Ufundi, Kamati ya Mashindano na Uongozi wa Juu wa Yanga kilichofanyika hivi karibuni kujadili hali timu katika Ligi: Uongozi waliwapa nafasi wachezaji kwanza kuzungumza, mzunguzaji wa kwanza alikuwa ni nahodha msaidizi Kevin Yondani ambaye yeye alielekeza lawama zake kwa Kamati ya Mashindano akisema haijasimama vizuri kwenye nafasi yao kwani imewaacha kama wakiwa, hakuna hamasa yoyote, tunakwenda kupambana bila hamasa na hata kama hakuna fedha, lakini wakituandaa kisaikolojia ingetusaidia, ndio maana inafika mahali wachezaji wenyewe kwa wenyewe tunagombana.

Wapili alikuwa ni Obren Chirwa yeye alisema kufanya kwao vibaya kunatokana na uongozi kusajili wachezaji wengi vijana usajili ambao hakuzingatia udhoefu, hata hivyo kabla hajamaliza kueleza aliingiliwa na Nahodha wa timu Nadir Haroub kwa kumtaka kufuta kauli yake, kwani haikuwa nzuri kwa wachezajilike waliopo sasa ndani timu, INA wavunja moyo na kumwambia hata yeye alikuwa chipukizi akaibuka kuwa mdhoefu.

Baada ya kauli ya Canavaroh aliingilia Ibrahim Ajibu alimshutumu Obren Chirwa kwa kuwa ana tabia ya kudharau wachezaji wenzake kimchezo tabia hiyo imekuwa ikikwaza wengi abadilike sasa na kuacha tabia ubinafsi, hii ni timu inahitaji ushirikiano kupata matokeo.

Aidha, baada ya maelezo ya wachezaji Kamati ya Mashindano iliahidi kuwa bega kwa bega na wachezaji katika kila mechi.

Uongozi nao ukasema inatambua thamani ya wachezaji ndani ya klabu kwa kushughulikia masuala yao kiutawala kwa wakati na wao kutambua ukubwa wa klabu wanaoichezea.
 
Leta ushahidi mkuu..............Siku hizi watu wamezidi umbeya sana nchi hii

usije kuwa ni makofia wewe.
 
Kikao cha Wachezaji, Benchi la Ufundi, Kamati ya Mashindano na Uongozi wa Juu wa Yanga kilichofanyika hivi karibuni kujadili hali timu katika Ligi: Uongozi waliwapa nafasi wachezaji kwanza kuzungumza, mzunguzaji wa kwanza alikuwa ni nahodha msaidizi Kevin Yondani ambaye yeye alielekeza lawama zake kwa Kamati ya Mashindano akisema haijasimama vizuri kwenye nafasi yao kwani imewaacha kama wakiwa, hakuna hamasa yoyote, tunakwenda kupambana bila hamasa na hata kama hakuna fedha, lakini wakituandaa kisaikolojia ingetusaidia, ndio maana inafika mahali wachezaji wenyewe kwa wenyewe tunagombana. Wapili alikuwa ni Obren Chirwa yeye alisema kufanya kwao vibaya kunatokana na uongozi kusajili wachezaji wengi vijana usajili ambao hakuzingatia udhoefu, hata hivyo kabla hajamaliza kueleza aliingiliwa na Nahodha wa timu Nadir Haroub kwa kumtaka kufuta kauli yake, kwani haikuwa nzuri kwa wachezajilike waliopo sasa ndani timu, INA wavunja moyo na kumwambia hata yeye alikuwa chipukizi akaibuka kuwa mdhoefu. Baada ya kauli ya Canavaroh aliingilia Ibrahim Ajibu alimshutumu Obren Chirwa kwa kuwa ana tabia ya kudharau wachezaji wenzake kimchezo tabia hiyo imekuwa ikikwaza wengi abadilike sasa na kuacha tabia ubinafsi, hii ni timu inahitaji ushirikiano kupata matokeo. Aidha, baada ya maelezo ya wachezaji Kamati ya Mashindano iliahidi kuwa bega kwa bega na wachezaji katika kila mechi. Uongozi nao ukasema inatambua thamani ya wachezaji ndani ya klabu kwa kushughulikia masuala yao kiutawala kwa wakati na wao kutambua ukubwa wa klabu wanaoichezea.
Acha wafu wazikane.. Sisi twasonga mbele.
 
mdhoefu..............dah
 
Tatizo lipo kwa uongozi wa sasa wa Yanga, hawana uzoefu wa uongozi wa soka....wanadhani kuongoza timu kubwa ni lele mama...utamsikia kiongozi wa Yanga anasema 'kesho naleta bomu la nyuklia kwa usajili' mara utamsikia 'katika usajili mimihuwa sibabaishwi'...baadala ya kuzungumzia klabu mtuau kiongozi anajizungumiza yeye kwa sifa...viongozi lazima wakae na wachezaji na kuwaelewa...viongozi lazima waongee na wachezaji ...viongozi lazima wajue saikolojia ya wachezaji...kuongoza Yanga siyo jambo la mchezo...unjitolea na kuacha mambo yako mengi...halafu wapiga dili ndiyo wengi pamoja na wapiga majungu..yaani majungu mtindo mmoja kuanzia kwa wachezaji, viongozi, makomandoo, wanachama mpaka na waandishi wa habari... Yanga ya sasa ina wachezaji wazuri na tena basi ni new blood, ni vijana, ila wanakosa muunganiko because of weak leadership...ukiwa kiongozi wa Yanga ni lazima uwaelewe wachezaji wako na kuwapa hamasa...
 
Namuonea huruma Sana Ajibu ni kana ana balaa ktk Maisha yake. Hakujua kuangalia upepo maana wakati anaenda kujiunga yanga tyr Hali ilishaanza kubadilika kiuchumi kutoka Hali nzuri kuwa mbaya. Ajibu ana gundu asipokuwa makini ataishia kuwa rofa kma ngasa.
 
Back
Top Bottom