Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Bondia Hassan Mwakinyo ameibuka na ushindi dhidi ya Stanley Eribo kutoka Nigeria kwa knock out (KO) katika raundi ya pili tu.
Wakati akitangazwa mshindi wa pambano hilo Hassan Mwakinyo ameonekana kuvalia fulana ambayo mbele ina picha ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na nyuma ikiwa na picha ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antiphas Mughwai Lissu iliyoambatana na nyundo na kibao vinavyotumika mahakamani.
Kitendo hiki kimezua mjadara mzito miongoni mwa watumiaji wa mitandao ya kijamii kukiwa na mvutano wa pande mbili, yaani wale wa CCM na CHADEMA, kila upande ukitafsiri kwa kuonyesha Mwakinyo ameunga mkono upande husuka.