Fulana zenye picha ya Magoma zateka soko la Kariakoo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426


Unaambiwa ni hatari sana, hii ni baada ya duka moja la wachina kuanza kuuza fulana zenye picha ya Shujaa Magoma.

Unaambiwa baada ya muda mfupi mzigo wa kwanza ulioletwa ulipukutika kama vumbi kwenye kimbunga.

Mpaka tunaingia mitamboni mzigo mpya ulikuwa bado unasubiriwa
 
ccmu wanataka fungua fursa kwa wachina
 
Kisheria ni makosa.

Mzee akienda kuwashitaki atavuta mpunga mrefu kama fidia .
 
Watanzania wanajadili uongozi wa klabu ya mpira kuliko uongozi wa nchi yao. Hii inashangaza sana.
Ukiangalia channel nyingi za Youtube; kwa Tanzania ni kama 3% tu zinazoongelea mambo ya nchi kwa jumla wakati hizo nyingine 97% nizinaongelea mpira tu. Ni tofauti na Kenya ambapo channel zote zinaongelea mambo ya kitaifa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…