Fulana zenye picha ya Magoma zateka soko la Kariakoo

Fulana zenye picha ya Magoma zateka soko la Kariakoo

Ndio nani huyo Magoma? Kafanyaje hadi unamuita shujaa?
Duu nilikuwa namusikiliza wakili kumbe yanga imeshitakiwa Kwa katiba ya 2010 na Hilo nipungufu mojawapo kama kwasasa hawaitumiu, jingine lililo ibuka ni kuhusu Saini za kugushi nimemsikiliza vizuri mama Karume Kwa kutumika Saini yake ya kugushi pia kutoitwa mahakamani ama kupigiwa simu
 
Watanzania wanajadili uongozi wa klabu ya mpira kuliko uongozi wa nchi yao. Hii inashangaza sana.
Maybe wapinzani wachukue somo kwa hizi Timu (How to attract people) Tatizo wote waliopo sasa na waliopo Benchi wote hawaaminiki..., kwahio wewe subiri tu maji yakiwafikia shingoni ndio hapo utaelewa Ngũgĩ wa Thiong'o alimaanisha nini alivyosema Things Fall Apart....

Mpaka sasa hizi timu za Mipira, Dini n.k. atleast zinawapa watu sehemu ya kupumua (An Opium of the Mass)
 
Unaambiwa baada ya muda mfupi mzigo wa kwanza ulioletwa ulipukutika kama vumbi kwenye kimbunga.
Ndiyo ujue Tanzania ni nchi ya kipumbavu sana! Tunajua kushabikia ujinga huku wabunge wakitufanya kitu mbaya!
 
Back
Top Bottom