Fulana zenye picha ya Magoma zateka soko la Kariakoo

Mzee anatakiwa apite na huu upepo wa umaarufu wa ghafla wa mtandaoni. Anaweza kunufaika kama yule dereva mkongwe.
Sahihi, Chukulia mfano mchina kauza Tshirt 1,000,000 kwa uchache, na kila moja ameuza kwa bei ya jumla mfano TZS. 3,000 tu.

Ambapo 3,000 x 1,000,000 = 3,000,000,000 (Bilioni Tatu), Si fedha ndo hii, Mhusika anapaswa kunufaika.
 
Ndio nani huyo Magoma? Kafanyaje hadi unamuita shujaa?
 
Mchomoa Betri wa Kutukuka. Mkuu nami nazitaka hizi T-Shirts tena nyingi nyingi tu niwe Nazivaa kila Siku napata wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…