Full Back bora wa Kulia wa muda wote!

Blanc alicheza na Marcel Desailly ambae alipata kuwa kiungo wa AC Milan katikati ya miaka ya 90...

forza Milan
Swahiba wangu Gang chomba ni kweli kabisa hao wote walicheza pamoja na kilele chao ilikuwa 1998 kombe la dunia ulipoitaja AC Milan hapo naona kabisa nafsi yako imetua pongezi kwa kukipenda chako.
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Wewe ni kuku mdogo sana kujua move za Ikulu...by the way Magufuli is the president mpaka 2025......hiyo picha haina maana yoyote pia nikukumbushe Ngariba haogopi mkojo...
2025 uhai unampa wewe, Mungu halali anafanya kazi yake 24yrs

Janvier Besella Bokungu
 
Keep other factors constant
Focusing only on the player's ability, qualities and performances,
Here are the best right backs in chronological order,
1. Allessandro Costacurta
2. Dani Alves
3. Lilian Thuram
4. Phillip Lahm
5. Cafu
Gianlunca zamblota umemsahau.
 
Keep other factors constant
Focusing only on the player's ability, qualities and performances,
Here are the best right backs in chronological order,
1. Allessandro Costacurta
2. Dani Alves
3. Lilian Thuram
4. Phillip Lahm
5. Cafu
Ni world cup winner 2006, ni UEFA champions League winner 2006
 
Salgado alikua anageuzwa kama chapati na Ronaldinho
Game ile waliyopigwa goal 6 na Barcelona alikuwa alikuwa amechafuka vibaya sana.
Kocha wao Juan de Ramos alijikuta haangalii hata kinachoendelea uwanjani.
 
kwa maoni yangu
right side
1.CAFU
2. DANI ALVES
left side
1.ROBERTO CARLOS
2.MARCELO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…